Mkataba wa kimataifa wa rasilimali za mimea kwa chakula na kilimo [1] (pia unajulikana kama ITPGRFA, mkataba wa kimataifa wa mbegu au mkataba wa mimea [2]) ni makubaliano ya kimataifa kuhusu anuwai ya Biolojia, ambayo inalenga kuhakikisha upatikanaji wa chakula.
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search